JINSI YA KUSIMAMISHA SWALA
Baada ya Kuangalia Masomo ya awali maana ya Uslam, Nguzo tano za Uislam na Nguzo sita za Iman pamoja na kuchukuaudhu , leo tunaangalia jinsi ya kushiriki swala ya Alfajir, Adhuhur,Alasir, Magharbi na Insha .
Kwanza Kabisa picha hapo juu inaelekeza hatua saba muhimu zinazopatikana katika swala
Hapa nimekuletea clip inayoonyesha jinsi ya kusimamisha swala pamoja na kutia nia kiufasaha



No comments:
Post a Comment